LYRICS
Majina yote mazuri ni yako Baba eeh
Unaitwa Jehova Jire,ninakupenda
Unaitwa Jehova Rafa, ninakupenda
Unaitwa Jehova Nisi,bendera ya ushindi wangu
Asante bwana Yesu kwa Upendo wako
Hakuna mwingine kama wewe..eeh *2…….(Tuendelee)

Copyright © 2023 | WordPress Theme by MH Themes